January 28, 2017

SIMBA YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA AZAM FC, YALALA 1-0

 Mshambuliaji wa Simba, Pastory Athanas akimtoka  beki wa Azam, Aggrey Moris katika mchezo wa Ligi Kuu ya VodacomTanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba imelala 1-0. (Picha na John Dande).
Shizza Kichuya akimtoka beki wa Azam FC, Gadiel Michael.
 Kipa wa Azam FC, Aishi Manula akiwa chini baada ya kuumia huku nahodha wa Simba, Jonas Mkude akjimlalamikia mwamuzi kuwa kipa huyo anapoteza muda.
Mshambuliaji wa Simba, Shizza Kichuya akiwa amelala chini baada ya kumalizika kwa mchezo huo.

No comments:

Post a Comment

Pages

â–¼