January 23, 2017

Ushirikiano baina ya Tanzania na Uturuki kuendelea kuimarika

Rais Dkt. John Pombe Joseph magufuli akisalimiana na Mwakilishi kutoka Uturuki  Bw, Ziya Karahan wakati wa chakula cha jioni alichomwandalia Rais huyo leo jijin Dar es Salaam. Mwenye tai nyekundu ni Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan. Picha na: Frank Shija – MAELEZO.
 Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan akipeana mkono na Mke wa Rais Dkt. Magufuli Mama Janeth Magufuli leo jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan, Rais Dkt. John Pombe Joseph magufuli na Mama Janeth Magufuli wakigonga cheers wakati wa hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa mahususi kwa ajili ya Rais huyo wa Uturuki leo jijin Dar es Salaam.
Baadhi ya wageni waalikwa katika dhifa ya chakula cha jioni  kwa ajili ya kumuaga Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan leo jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Joseph magufuli akipiga ngoma baada ya kufurahishwa na burudani kutoka kwa Bendi ya Mrisho Mpoto na Banabana wakati wa chakula cha jioni alichomwandalia Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan leo jijin Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages