Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa UWT, Tawi la Shirikisho la Wanafunzi vyuo vya Elimu ya Juu-CCM, Anastazia Malamsha, wakati wa mazishi ya kiongozi huyo, yaliyofanyika leo katika eneo la Shimbo, Rombo Mkuu mkoani Kilimanjaro. Anastazia alifariki dunia Jumapili, Feb 5, 2017, katika ajali ya gari wakati akitoka kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 40 ya CCM mkoani huo ambapo pamoja naye viongozi wengiewatatu walifariki pia katika ajali hiyo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoaheshima za mwisho kwa mwili wa Anastazia, kabla ya mazishi hayo.
Kinana na baadhi ya viongozi wa Chama na serikali wakiwa kwenye mazishi hayo. Kulia ni Said Mecky Sadick.
Waombolezaji wakiandamana kutangulia mbele wakati mwili wa Anastazia ulipokuwa ukipelekwa eneo la kusaliwa wakati wa mazishi hayo.
Waombolezaji wakiandamana kutangulia mbele wakati mwili wa Anastazia ulipokuwa ukipelekwa eneo la kusaliwa wakati wa mazishi hayo.
Vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Anastazia kulipeleka kwenye eneo la kusaliwa wakati wa mazishi hayo.
Vijana hao wa UVCCM wakiwa wamelibeba kikakamavu jeneza lenye mwili wa marehemu Anastazia.
Huyu ndiye marehemu Anstazia wakati wa uhai wake.
Waombolezaji wakiwa msibani wakati wa mazishi hayo.
Baba na Mama wa marehemu Anastazia, Innocent Malamsha na Devota Malamsha wakiwa na nyuso za huzuni wakati wa mazishi hayo.
Baba na Mama wa marehemu Anastazia, Innocent Malamsha na Devota Malamsha wakiwa na nyuso za huzuni mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, wakati wa mazishi hayo.
Baadhi ya wanakwaya ambao ni Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, wakiimba nyimbo za maombolezo wakati wa mazishi hayo. Anastazia alikuwa mwanafunzi wa Mwaka wa tatu katika chuo hicho Kikuu cha Ushirika Moshi.
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, wakiwa kwenye mazishi hayo. Anastazia alikuwa mwanafunzi wa Mwaka wa tatu katika chuo hicho Kikuu cha Ushirika Moshi.
Mshauri wa Wanafunzi Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Dk.Gervas Machim, akitoa maneno ya rambirambi kwenye mazishi hayo.
Naibu Mkuu wa Kitivo cha Ushirika na Maendeleo ya Jamii katika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, Dk. Cyril Komba akitoa maneno ya rambirambi kwenye mazishi hayo.
Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, William Mbogo akitoa maneno ya rambirambi kwenye mazishi hayo.
Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, William Mbogo akikabidhi fedha za mchango wa rambirambi kwa Baba na mama wa Marehemu Anastazia, Innocent Malamsha na Devota Malamsha, kwenye mazishi hayo.
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akiwa na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadik na viongozi wengine wa CCM kwenye mazishi hayo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa salama za rambirambi za kwake binafsi, CCM na Mwenyekiti wa CCM Rais Dk John Magufuli wakati wa mazishi hayo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa salama za rambirambi za kwake binafsi, CCM na Mwenyekiti wa CCM Rais Dk John Magufuli wakati wa mazishi hayo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa salama za rambirambi za kwake binafsi, CCM na Mwenyekiti wa CCM Rais Dk John Magufuli wakati wa mazishi hayo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwapa pole baba na mama wa marehemu Anastazia baada ya kutoa salama za rambirambi za kwake binafsi, CCM na Mwenyekiti wa CCM Rais Dk John Magufuli wakati wa mazishi hayo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpa pole baba wa marehemu Anastazia baada ya kutoa salama za rambirambi za kwake binafsi, CCM na Mwenyekiti wa CCM Rais Dk John Magufuli wakati wa mazishi hayo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikabidhi fedha za mchango wa rambirambi kutoka CCM na Jumuia zake, kwa Baba na mama wa Marehemu Anastazia, Innocent Malamsha na Devota Malamsha, baada ya kutoa salam za rambirambi kwenye mazishi hayo.
Waombolezaji wakati wakiaga mwili kwa mara ya pili wakati wa mazishi hayo
Baba wamarehemu Anastazia akiweka udogo kaburini wakati wa maziko.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadick akiweka udongo kaburini
Mwenyekiti wa CCMmkoa wa Kilimanjaro akiweka udongokaburini
Mwombolezaji ambaye ni mwanafamilia ya marehemu Anastazia akisaidiwa wakati akiweka udogo kaburini.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiweka shada la maua kwenye kaburi la Anastazia, mwishoni mwa maziko. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO.
No comments:
Post a Comment