February 05, 2017

KINANA KATIKA MIAKA 40 YA CCM, DODOMA

Katibu kuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwakabidhi msaada wa vyakula, watoto wanaolelewa katika Kijiji cha Matumaini kilichopo Kisasa, Dodoma, leo, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 40 ya CCM. Kushoto ni Mwanzilishi wa Kijiji hicho Padre Vincent Boseili. (Picha na Bashir Nkoromo).
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwafurahia watoto wanaolelewa katika Kijiji cha Matumaini, Kisasa mkoani Dodoma, alipotembelea kituo hicho leo, ikiwa ni sehemu ya madhimisho ya miaka 40 ya CCM. Kulia ni Mmoja wa Waanzilishi wa Kijiji hicho Sista Roselie. 
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa Ofisi ya CCM Kata ya Nkuhungu, Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 40 ya CCM. 
Mhandisi wa Manispaa ya Dodoma, Injinia John Nchilla akimpa Kinana maelezo kuhusu ujenzi wa dampo hilo la Kisasa katika Kata ya Matumbulu wilaya ya Dodoma Mjini.

No comments:

Post a Comment

Pages