Meneja Mafao wa Mfuko wa
Pesheni wa LAPF, Ramadhani Mkenyenge, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu mafanikio ya mfuko huo. Kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa LAPF, Rehema Mkamba na kulia ni Ofisa Matekelezo Mwandamizi wa LAPF, Kafiti Kafiti. (Picha na Francis Dande).
Meneja Mafao wa Mfuko wa Pesheni wa LAPF, Ramadhani Mkenyenge, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu mafanikio ya mfuko huo. Kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa LAPF, Rehema Mkamba na kulia ni Ofisa Matekelezo Mwandamizi wa LAPF, Kafiti Kafiti.
Waandishi wa habari wakiwa kazini.
Meneja Mafao wa Mfuko wa Pesheni wa LAPF, Ramadhani Mkenyenge, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu mafanikio ya mfuko huo. Kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa LAPF, Rehema Mkamba.
Meneja Mafao wa Mfuko wa Pesheni wa LAPF, Ramadhani Mkenyenge, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu mafanikio ya mfuko huo. Kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa LAPF, Rehema Mkamba.
Ofisa Matekelezo Mwandamizi wa LAPF, Kafiti Kafiti, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu mafanikio ya mfuko huo. Katikati ni Meneja Mafao wa LAPF, Ramadhani Mkenyenge na kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa LAPF, Rehema Mkamba.
Ofisa Masoko Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Rehema Mkamba, akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
Waandishi wakiwa katika mkutano huo.
Ofisa Masoko Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Rehema Mkamba, akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
Meneja Mafao wa Mfuko wa Pesheni wa LAPF, Ramadhani Mkenyenge, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu mafanikio ya mfuko huo. Kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa LAPF, Rehema Mkamba na kulia ni Ofisa Matekelezo Mwandamizi wa LAPF, Kafiti Kafiti.
Meneja Mafao wa Mfuko wa Pesheni wa LAPF, Ramadhani Mkenyenge, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu mafanikio ya mfuko huo. Kulia ni Ofisa Matekelezo Mwandamizi wa LAPF, Katiti Katiti.
NA SALMA
RASHID, MUM
MENEJA Mafao
wa Mfuko wa Pesheni wa LAPF, Ramadhani Mkenyenge amewaonya waajiri
wanaochelewesha majina ya wanachama wa mfuko huo wanaokaribia kustaafu kwani
inasababisha kutowapa mafao yao kwa wakati.
Akizungumza
na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mkenyenge alisema kuna
changamato zinazokabili mfuko huo wa pesheni wa LAPF ni ucheleweshwaji wa majina ya wastaafu hivyo
basi kupelekea waastaafu hao kutopata mafao yao kwa wakati muafaka ikiwa nia ya
mfuko huo kuwalipa
wanachama wao mapema ili kuepusha usumbufu na ulipaji
wa mafao ya urithi.
Alisema Mfuko
huo wa LAPF kwa mwaka 2015/2016 imeweza kuwekeza katika sekta na idara
mbalimbali kama serikalini, benki na ujenzi wa majengo (Msamvu bas terminal) na
ukumbi wa bunge wa zamani.
“Kwa upande
wa bidhaa zilizopo sokoni LAPF imekua na mtazamo wa kumjali mwanachama zaidi
kwa kutoa huduma mbalimbali kama vile mkopo ya saccos kwa wanachama, mkopo kwa
wastaafu, mkopo ya nyumba ,mkopo wa maisha popote, na mkopo wa elimu,” alisema
meneja mkenyenge.
Alisema Meneja
mkenyenge pamoja na changamoto hizo pia kuna mafanikio waliyoyapata ikiwemo kuongeza ofisi zao za LAPF songea,
Tabora, Tanga, Iringa na Kahama ,na kuwa kinara katika tasnia ya mfuko wa
hifadhi ya jamii kwa ubunifu na mikakati yake ambayo inazingatia maslahi na
matakwa halisi ya wanachama wake.
Alisema
Mkenyenge baadhi ya mafao yanayotolewa na mfuko huo ni pamoja pesheni ya
uzeeni, pesheni ya warithi, pesheni ya walemavu, mafao ya wazazi, msaada wa
mazishi na mafao ya kujitoa, na kuongezea kwamba awajazuia fao la mtu kujitoa
katika uanachama wa mfuko na inakupa kwanza ushauri kabla ya kujitoa katika
mfuko wa pesheni ya LAPF.
“Pamoja na
huduma hizo, Mfuko wa LAPF umeboresha huduma za ulipaji mafao kwa wanachama
wake kwa kuwalipa kwa wakati kupitia akaunti zao za benki ya CRDB na NMB akaunti hizo zimesaidia zimesaidia kuondoa
usumbufu mkubwa hasa kwa wanachama wanaostaafu,” alisema meneja Mkenyenge.
Pia alitoa
ushauri kwa wanachama wa LAPF kuandika urithi kabla ya kufa, waajiri
kuwasilisha madai ya wanachama mapema kabla ya kustaafu , pia alitoa fura kwa
wananchi kujiunga na LAPF kabla ya
kuzeeka na kwa manufaa yao ya maabae pindi wanapopata matatizo.
Mfuko wa
pesheni wa LAPF umekuwa ukiwahudumia wanachama wake takribani zaidi ya miaka 70
sasa kwa uadilifu,ufanisi na ujuzi na umekua unatoa huduma bora nchini.
No comments:
Post a Comment