Beki wa Yanga, Juma Abdul, akimtoka mshambuliaji wa Azam FC, Ramadhani Singano, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 1-0. (Picha na Francis Dande).
Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa, akimtoka beki wa Azam FC, Yakubu Mohamed, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 1-0.

Kocha wa Azam FC, Aristika Cioba, akitoa maelekezo kwa wachezaji wake.
Mshambuliaji wa Yanga, Justine Zulu, akitolewa nje baada ya kuumia katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Azam FC.
Beki wa Azam FC, Yakubu Mohamed, akiokoa mpira mbele ya mshambuliaji wa Yanga, Deus Kaseke katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 1-0.
Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa, akiwania mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Azam FC uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 1-0.
Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa, akiwania mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Azam FC uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 1-0.
No comments:
Post a Comment