Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo, akisaini mfano wa hundi kabla ya kuikabidhi kwa uongozi wa Shule ya Msingi Gezaulole Kigamboni jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande).
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi, Gezaulole, Mariam Kinande, akizungumza katika hafla hiyo.
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo, akisoma hotuba yake kabla ya kukabidhi hundi ya Sh. Milioni 2 kwa uongozi wa Shule ya Msingi Gezaulole jijini Dar es Salaam, fedha hiyo itasaidia ukarabati wa madarasa shuleni hapo.
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo (wa pili kushoto), akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Sh. Mil. 2 kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Shule ya Msingi Gezaulole, Bundala Maganga na Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Mariam Kinande kwa ajili ya ukarabati wa madarasa shuleni hapo.
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo (kushoto), akikabidhi jana mfano wa hundi yenye thamani ya Sh. Mil. 2 kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Gezaulole Kigamboni jijini Dar es Salaam, Kelvin James na Swaum Mohamed waliopokea kwa niaba ya uongozi wa shule hiyo, msaada huo kwa ajili ya kusaidia ukarabati wa madarasa shuleni hapo.
Wanafunzi, Swaum Mohamed na Kelvin James, wakiwa katika picha ya pamoja na baada ya kupokea mfano wa hundi kutoka kwa Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo (katikati).
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo, akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Shule ya Msingi Gezaulole Kigamboni bada ya kukabidhi msaada wa Sh. Mil. 2 kwa ajili ya ukarabati wa shule hiyo.
Wanafunzi wakimsalimia mgeni kutoka Benki ya CRDB, John Rugambo (katikati).
Wanafunzi wakiwa darasani.
Wanafunzi wakiwa darasani.
Moja ya madarasa ya Shule hiyo.
Baadhi ya wanafuzi wakiwa darasani.
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo, akiwasalimia wanafunzi wa Shule hiyo.
Ofisa wa Benki ya CRDB, Kilo Mgaya, akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi, Gezaulole iliyopo Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi wakishiriki michezo.
No comments:
Post a Comment