Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la Qnet uliofanyika Dar es Salaam, wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Bodi ya Qnet, David Sharma, Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dk. Adelhelm Meru na Wakala wa Qnet Tanzania, Benjamini Mariki. (Na Mpigapicha Wetu).
No comments:
Post a Comment