HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 22, 2017

WAZIRI KIGWANGALLA AZINDUA RASMI JENGO LA QNET

 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la Qnet uliofanyika Dar es Salaam, wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Bodi ya Qnet, David Sharma, Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dk. Adelhelm Meru na Wakala wa  Qnet Tanzania, Benjamini Mariki. (Na Mpigapicha Wetu).

No comments:

Post a Comment

Pages