September 09, 2017

NYUMBA ZA LUGUMI ZAPIGWA MNADA

Askari Polisi (kushoto), akihakikisha usalama unakuwepo wakati nyumba ya mfanyabiashara maarufu Said Lugumi, iliyopo kiwanja namba 701, hati namba 18173/35 iliyopo mtaa wa Mazengo Upanga jijini Dar es Salaam ikipigwa mnada na Kampuni ya Udalali ya Yono Auction Mart ambapo ilinunuliwa kwa Sh. Mil. 700.
Baadhi ya wateja wakiwasili kuangalia nyumba ya Lugumi iliyokuwa inapigwa mnada leo.
Wateja wakiangalia nyumba ya Lugumi ambayo ilipigwa mnada kwa Sh. Mil. 700.
Kuangalia nyumba......
Baadhi ya wananchi wakiangalia nyumba iliyokuwa inapigwa mnada.
Wananchi waliofika katika mnada huo wakikagua nyumba hiyo.
Muonekano wa nyumba hiyo kwa nje.

Muonekano ya nyumba hiyo.
Baadhi ya watu waliofika katika mnada huo wakijadiliana jambo.
Baadhi ya wateja wakiangalia nyumba iliyokuwa inamilikiwa na mfanyabiashara, Said Lugumi, iliyopo katika mata wa Mazengo Upanga jijini Dar es Salaam. Nyumba hiyo iliuzwa kwa mnada na Kampuni ya Udalali ya Yono Auction Mart kwa Sh. Mil. 700.
Mnada wa uuzaji nyumba hiyo ukiendelea.
Milioni 600, Milioni 700........
Mnunuzi wa nyumba hiyo aliyenunua kwa Sh. Milioni 700 akichukuliwa maelezo yake.

No comments:

Post a Comment

Pages