Wananchi wakipata huduma katika banda la UTT AMIS katika maonyesho ya Taasisi za Kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Wananchi
wakipata huduma katika banda la UTT AMIS katika maonyesho ya Taasisi za
Kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
Salaam.
Wananchi wakipata elimu juu ya uwekezaji wa pamoja.
Ofisa
Masoko wa UTT AMIS akitoa elimu pamoja na huduma kwa wawekezaji wa
zamani na wapya wa UTT AMIS katika katika Maonyesho ya Tasisi za Fedha
yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment