Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (Mstaafu), akikagua gwaride la heshima wakati wa hafla ya kuwaaga watumishi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), iliyofanyika leo katika Kambi ya Twalipo iliyopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest
Rwegasira (Mstaafu) na Meja Jenerali Simon Mumwi (Mstaafu) (kulia
aliyesimama kwenye gari), wakisukumwa kwenye gari inayotembea mwendo
wa taratibu kuashiria kumalizika kwa utumishi wao katika Jeshi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakati wa hafla ya kuwaaga, iliyofanyika
leo katika Kambi ya Twalipo iliyopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es
Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest
Rwegasira (Mstaafu) akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi , Jenerali
Venance Mabeyo, baada ya kumaliza utumishi katika Jeshi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ) wakati wa hafla ya kuwaaga watumishi wa jeshi hilo,
iliyofanyika leo katika Kambi ya Twalipo iliyopo Barabara ya
Kilwa,jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Meja Jenerali Projest
Rwegasira (Mstaafu) na Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga
Taifa, Dk. Florens Turuka (kulia), wakizungumza wakati wa hafla ya
kuwaaga watumishi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), iliyofanyika
leo katika Kambi ya Twalipo iliyopo Barabara ya Kilwa, jijini Dar es
Salaam. Ambapo Meja Jenerali Rwegasira (Mstaafu), aliagwa baada ya
kumaliza utumishi wake katika jeshi hilo. Picha na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
No comments:
Post a Comment