HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 25, 2017

WAHITIMU MZUMBE WAKARIBISHWA KUSHIRIKI KATIKA CONVOCATION NOVEMBA 29, 2017




MZUMBE UNIVERSITY

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe na Uongozi wa Baraza la Masajili la Chuo (CONVOCATION) wanawakaribisha wanachuo, wahitimu wote wa Mzumbe katika ngazi mbalimbali, wafanyakazi, Marafiki wa Mzumbe na wananchi kwa ujumla kushiriki katika convocation tarehe 29 Novemba Chuo kikuu Mzumbe Morogoro,

Mnakaribishwa pia kuendelea kuchangia ujenzi wa Hosteli ya wanafunzi wa kike katika Kampasi Kuu Morogoro itakayochukua wanafunzi 900.

changia kupitia akauti namba 0150209448900 CRDB BANK Tawi la Mzumbe.

Asante kwa kuwa sehemu ya familia ya Mzumbe na kwa kuchangia maendeleo ya Mzumbe

“ Tujifunze kwa maedeleo ya watu”

No comments:

Post a Comment

Pages