Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Dauda Mbaga, akitoa elimu ya juu ya mifuko ya uwekezaji wa pamoja inayosimamiwa na kampuni hiyo inavyoweza kuwa suluhisho la maisha baada ya kustafu, katika semina iliyoandaliwa na National Instuite of Productivity (NIP) Morogoro.
Semina ikiendelea.
No comments:
Post a Comment