Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi
mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mjini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji
Filipe Nyusi wakipita kwenye gadi ya Heshima iliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi
mara baada ya Rais huyo wa Msumbiji kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji
Filipe Nyusi wakati wakiangalia vikundi vya ngoma za utamaduni mara baada ya
Rais huyo wa Msumbiji kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mjini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na mgeni wake Rais wa
Msumbiji Filipe Nyusi wakati vikundi vya ngoma vilipokuwa vikitumbuiza katika
uwanja wa ndege wa Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji
Filipe Nyusi katika Ikulu ya Dodoma kabla ya kuanza mazungumzo yao. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment