Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akimjulia hali mwanasiasa mkongwe Mzee Kingunge Ngombale Mwiru
aliyelazwa kwa ajili ya matibabu katika Wodi ya Mwaisela iliyopo katika
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiwajulia hali watoto wawili Mapacha
walioungana Maria na Consolata ambao wamelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya
Kikwete (JKCI)kwa ajili ya Matibabu.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya
Jakaya Kikwete (JKCI) Profesa Mohamed Janabi pamoja na wafanyakazi wengine wa
Taasisi hiyo mara baada ya kutembelea wagonjwa waliolazwa Hospitalini hapo.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wapishi wanaofanya kazi ndani
ya Hospitali ya Muhimbili wakati akitoka kuona wagonjwa.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na manesi wanaohudumia
wagonjwa katika Wodi ya ya Sewahaji iliyopo katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Nasoro Rashid aliyelazwa katika
Wodi ya ya Sewahaji iliyopo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Picha namba 15. Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali mzee Hamadi Lila aliyekuwa
akilia kwa furaha mara baada ya kumuona Rais alipofika katika wodi ya Sewahaji.-PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment