Gavana
mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Prof. Florens Luoga, akisaini kitabu cha
wageni alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.
Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), Jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akiwa katika mazungumzo
na Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Prof. Florens Luoga, ofisini
kwake Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment