May 04, 2018

MENEJA MAWASILIANO WA SHIRIKA LA HIFADHI ZA TAIFA (TANAPA) PASCA SHELUTETE AWAFUNDA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA ,SEMINARI YA AGAPE

 Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete akielekezwa jambo na Mkuu wa Shule ya sekondari ya Seminari Ndogo ya Agape Mch,Godrick Lyimo alipoalikwa kama mgeni rasmi katika mahafali ya kidato cha sita ya Umoja wa Kikristo wa Wanafunzi Tanzania. 
Mkuu wa Shule ya sekondari ya Seminari Ndogo ya Agape,Mch,Godrick Lyimo akitoa maelezo juu ya shule hiyo kwa Mgeni rasmi katika mahafali ya kidato cha sita ya Umoja wa Kikristo wa Wanafunzi Tanzania ambaye pia ni Meneja Maawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete.
Mgeni rasmi katika mahafali ya kidato cha sita ya Umoja wa Kikristo wa Wanafunzi Tanzania ambaye pia ni Meneja Maawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete akioneshwa maeneo mbalimbali ya Shule ya Sekondari ya Seminari Ndogo ya Agape .
Mgeni rasmi katika mahafali ya kidato cha sita ya Umoja wa Kikristo wa Wanafunzi Tanzania ambaye pia ni Meneja Maawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete akiotesha mti wa kumbukumbu katika moja ya maeneo ya shule hiyo.
Mgeni rasmi katika mahafali ya kidato cha sita ya Umoja wa Kikristo wa Wanafunzi Tanzania ambaye pia ni Meneja Maawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete akiwafunda wanafunzi wa kidato cha sita wanaohitimu katika shule ya sekondari ya Seminari Ndogo ya Agape.
Wahitimu wa Kidato cha Sita katika shule ya Sekondari ya Seminari Ndogo ya Agape wakimsikiliza kwa makini  Mgeni rasmi katika mahafali hayo ambaye pia ni Meneja Maawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete( hayupo pichani ) wakati akizungumza
Mgeni rasmi katika mahafali ya kidato cha sita ya Umoja wa Kikristo wa Wanafunzi Tanzania ambaye pia ni Meneja Maawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete akitunuku vyeti kwa Wahitimu hao.
Mgeni rasmi katika mahafali ya kidato cha sita ya Umoja wa Kikristo wa Wanafunzi Tanzania ambaye pia ni Meneja Maawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete akikabidhi zawadi kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Seminari Ndogo ya Agape ,Mch ,Godrick Lyimo .
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Seminari Ndogo ya Agape,Mch Godrick Lyimo akikabidhi zawadi kwa Mgeni Rasmi ,Pascal Shelutete.
Mgeni rasmi katika mahafali ya kidato cha sita ya Umoja wa Kikristo wa Wanafunzi Tanzania ambaye pia ni Meneja Maawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete akiwa katika picha ya pamoja na Wahitimu .

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini .

No comments:

Post a Comment

Pages