Wanahisa wa Benki ya CRDB wakijiandikisha kabla ya kuanza kwa semina.
Wanahisa wa Benki ya CRDB wakipatiwa makablasha kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa Mwaka unaofanyika katika Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
Mwanahisa akipokea kablasha lake.
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambwa akizungumza katika Semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza katika Semina ya wanahisa wa Benki hiyo jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Ally Laay, akizunguma na wanahisa wa benki hiyo jijini Arusha.
Washiriki.
Dk. Blandina Kilama, akitoa mada kuhusu usimamizi wa uwekezaji katika hisa.
Wanahisa wakiwa katika semina.
Baadhi ya washiriki.
Washiriki.
Mwanahisa akisoma kwa makini taarifa za Benki ya CRDB wakati wa semina.
Wanahisa.
Balozi wa Denmark akifuatilia semina hiyo.
Grace Joachim akitoa mada kuhusu usimamizi wa mirathi.
Mkurugenzi wa Hazina Masoko ya Fedha wa Benki ya CRDB, Alex Ngusaru, akitoa mada wakati wa Semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB kuhusu Fedha na Mfumo wa Kidijitali.
No comments:
Post a Comment