Wachezaji
wa timu ya Usalama FC ya Manyara wakiwa katika picha ya pamoja na
viongozi mbalimbali wa Jeshi la Polisi mjini Babati mkoani Manyara,
baada ya kufanikiwa kutinga Ligi Daraja la Pili (SDL), Kituo cha Boma
mkoani Kilimanjaro, hivi karibuni. (Picha na Said Kopwe-Polisi Manyara).
No comments:
Post a Comment