May 02, 2018

WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAADHIMISHA MEI MOSI KITAIFA-IRINGA

 Rais Dk. John Magufuli akihutubia mamia ya wafanyakazi katika Maadhimisho ya Sherehe ya Mei Mosi Kitaifa zilizofanyika katika Uwanja wa Samora, mkoni Iringa. (Picha na Ikulu). 
  Rais Dk. John Magufuli akiagana na wananchi baada ya kuhutubia mamia ya wafanyakazi katika Maadhimisho ya Sherehe ya Mei Mosi Kitaifa zilizofanyika katika uwanja wa Samora mkoni Iringa. (Picha na Ikulu).
Baadhi ya wateja wa Benki ya CRDB Mkoa wa Iringa wakipata huduma katika tawi linalotembea 'Mobile Branch' wakati Maonyesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo kitaifa yalifanyika kwenye Uwanja wa Samora, mkoani Iringa. (Picha na Denis Mlowe).
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo kitaifa yalifanyika Mkoa wa Iringa na mgeni rasmi akiwa Rais Dk. John Magufuli.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo kitaifa yalifanyika Mkoa wa Iringa.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani.
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Iringa akipata huduma katika banda la Benki ya CRDB wakati wa maonyesho ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo kitaifa yalifanyika mkoani wa Iringa.

No comments:

Post a Comment

Pages