May 02, 2018

DK. MPANGO AFUNGUA MKUTANO WA KIUCHUMI JIJINI DAR ES SALAAM

  Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, akizungumza wakati wa kufungua Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii (ESRF) wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi. Mkutano huo unafanyika leo, jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii (ESRF),Dk. Tausi Kida, akizungumza wakati wa ufunguzi wa  Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi hiyo wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini.
 Balozi wa Sweden nchini, Katarina Rangnitt,  akizungumza wakati wa kufungua Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii (ESRF) wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi.
 Profesa Joseph Stiglitz  akitoa mada katika  Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii (ESRF) wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi.
Washiriki wa Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii (ESRF) wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini, wakifuatilia moja ya mada zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Pages