June 09, 2018

Airtel kuendelea kuboresha huduma zake

Mkurugenzi Mtendaji Airtel Tanzania Sunil Colaso akiongea na wafanya kazi wa kampuni hiyo, wateja na wageni waalikwa wakati wa hafla ya Futari iliyoandaliwa na Airtel kwa wateja na washirika wake jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi wa Biashara kwa wateja maalum Boniface Bwambo akiongea na wafanya kazi wa kampuni hiyo, wateja na wageni waalikwa wakati wa hafla ya Futari iliyoandaliwa na Airtel kwa wateja na washirika wake jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Airtel Tanzania akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Tanzania Sanjay Rughani wakati wa hafla ya Futari iliyoandaliwa na Airtel kwa wateja na washirika wake jijini Dar es Salaam jana. Kati kati ni Mkurugenzi wa Biashara Airtel Tanzania Rohit Tandon.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Tanzania Sanjay Rughani akizungumza na moja ya wageni waalikwa wakati wa hafla ya Futari iliyoandaliwa na Airtel kwa wateja na washirika wake jijini Dar es Salaam jana. Kati kati ni Mkurugenzi Mtendaji Airtel Tanzania Sunil Colaso.

No comments:

Post a Comment

Pages