Maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakisaidiana na wasamalia
wema, kuokoa watu katika ajali iliyohusisha Basi la abiria la Hamida na
Treni ya mizigo, Mjini Kigoma. Watu kumi wanasadikiwa kupoteza
maisha, huku wengine 28 wakilazwa Hospitali ya Maweni mkoani humo
kutokana na majeraha waliyopata. (Picha na Sitta Tumma).
No comments:
Post a Comment