June 06, 2018

MAPACHA WALIOUNGANA WAZIKWA

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako akipita kuaga miili ya mapacha walioungana Maria na Consolata Mwakikuti. 
 Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako  na  Naibu Waziri wa Sera,Bunge,Kazi,Ajira na Walemavu, Stella Ikupa wakilia kwa uchungu mara baada ya kufika katika viwanja vya chuo kikuu cha Ruaha (RUCU) wakati wa ibada ya mazishi na kuaga miili ya mapacha walioungana ya Maria na Consolata Mwakikuti 

Jeneza lilihifadhi miili ya marehemu Maria na Consolata Mwakikuti likishushwa katika nyumba yao ya milele katika makaburi yanayotumika na mapadre na masista wa kanisa katoliki la Roman yaliyoko Tosamaganga nje kidogo ya manispaa ya Iringa.

No comments:

Post a Comment

Pages