June 14, 2018

BENKI YA CRDB YACHANGIA MILIONI 100 UKARABATI JENGO LA WAGONJWA WA MOYO JKCI

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (wa pili kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Sh. Mil.100, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Prof. Mohamed Janabi, kwa ajili ya kusaidia ukarabati wa jengo la wagonjwa wa moyo jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Huduma Mbadala wa CRDB, Philip Alfred, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo, Tulizo Shemu na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa CRDB, Tully Mwambapa. (Picha na Francis Dande).
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Prof. Mohamed Janabi, akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, wakati alipotembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Dar es Salaam.Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo, Tulizo Shemu, akisalimia na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charle Kimei.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Prof. Mohamed Janabi, akimtembeza Dk. Kimei katika jengo la watoto linalofanyiwa ukarabati mkubwa.
Prof. Janabi (kushoto), akimtembeza Dk. Kimei kuangali Jengo la Watoto ambalo lipo katika ukarabati mkubwa.
Dk. Kimei alipotembelea vitengo mbalimbali katika Taasisi ya JKCI.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Prof. Mohamed Janabi (kulia), akitoa maelezo kwa viongozi wa Benki ya CRDB.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa CRDB, Tully Mwambapa, akiuliza swali.
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo, Peter Kisenge, akitoa maelezo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia) na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja, Tully Mwambapa, wakati walipotembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI).

Prof. Janabi akitoa ufafanuzi.
Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya Damu ambaye pia ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Upasuaji Dk. Bashir Nyangasa (kulia), akitoa maelezo mbele ya viongozi wa Benki ya CRDB walipotembelea wagonjwa wa moyo katika wodi ya watoto.

Dk. Charles Kimei, akimjulia hali mtoto Ivan Charles aliyelazwa katika wodi ya watoto katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), kulia ni Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya Damu ambaye pia ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Upasuaji Dk. Bashir Nyangasa.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, akimtakia afya njema mtoto, Ivan Charles.
Pole....

Dk. Kimei akitoa hotuba yake.
Prof. Janabi akimpongeza Dk. Charles Kimei, akimpongeza baada ya kutoa kutoa hotuba yake katika hafla ya kukabidhi Sh. Mil. 100 kwa ajili ya ukarabati wa Jengo la Watoto.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiongozwa na Mkurugezni Mtendaji wa benki hiyo Dk. Charles Kimei (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa JKCI.
Dk. Kimei akiagana na Prof. Janabi.

No comments:

Post a Comment

Pages