Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu)
akieleza jambo kwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Benjamini Sitta
wakati wa ziara fupi kukagua ujenzi wa
chumba kitakachotumia Mfumo Unganishi wa Usimamizi wa taarifa za Ardhi
(ILMIS) katika Mradi wa Mfano Wilaya ya
Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin
Kamuzora (Sera na Uratibu) akiweka saini kwenye kitabu cha wageni wakati wa
ziara fupi kukagua ujenzi wa chumba kitakachokuwa kinatoa huduma za Mfumo
Unganishi wa Usimamizi wa taarifa za Ardhi (ILMIS) katika Mradi wa Mfano Wilaya ya Kinondoni
Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin
Kamuzora (Sera na Uratibu) akioneshwa namna jalada ambalo taarifa zake tayari
zimeshafanyiwa kazi na mfumo huo linavyoonekana katika Mradi wa Mfano
unaotekelezwa katika Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
Imetolewa na
Afisa Habari, Ofisi ya Waziri Mkuu
Kitengo cha Mawasiliano
24 Juni,2018
No comments:
Post a Comment