Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua
Mkutano wa 38 wa Mawaziri wa Madini kutoka nchi wananchama wa Ukanda wa
Maziwa Makuu kwenye Kituo cha Utafiti na uendelezaji wa sekta ya
Madini, Kundichi jijini Dar es salaam, Juni 8, 2018. (Picha zote na ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimsikiliza Meneja wa Maabara ya Kemia na Mazingira wa Kituo cha
Utafiti na Uendelezaji wa Sekta ya Madini, Bw. Charles Butete baada ya
kuzindua maabara hiyo , kunduchi jijini Dar es salaam, Juni 8, 2018.
Wapili kushoto ni Waziri wa Madini, Angela Kairuki.
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi kutoka nchi wanachama
wa Ukanda wa Maziwa Makuu baada ya kufungua Mkutano 38 wa Mawaziri
wa Madini kutoka nchi hizo kwenye Kituo cha utafiti na uendelezaji wa
sekta ya Madini, Kunduchi jijini Dar es salam, Juni 8, 2018. Watatu
kulia ni Waziri wa Madini, Angela Kairuki.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufungua Mkutano wa 38 wa
Mawaziri wa Madini kutoka nchi wanachama wa Ukanda wa Maziwa Makuu
kwenye Kituo cha utafiti na uendelezaji wa sekta ya Madini, Kunduchi
jijini Dar es salam, Juni 8, 2018.
No comments:
Post a Comment