Katibu wa Sekretarieti ya
Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu, iliyopo
chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani, Separatus Fella, akizungumza na wakati wa kikao
cha kujadili mikakati ya kupambana na biashara hiyo, ambapo maadhimisho ya
mwaka huu ya kupinga biashara hiyo yanatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa
sita.Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini
Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa
Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji wa
Binadamu, iliyopo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani, Adatus Magere, akizungumza
na wakati wa kikao cha kujadili mikakati ya kupambana na biashara hiyo.Kikao
hicho kimefanyika Ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es
Salaam.
Mshiriki wa Kikao cha Kujadili
mikakati ya kupambana na biashara haramu ya binadamu kutoka Shirika la
Utangazaji Tanzani(TBC), Prudence Constantine, akichangia hoja wakati wa kikao
hicho kilichofanyika Ukumbi wa Makao
Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.
Mshiriki wa Kikao cha Kujadili
mikakati ya kupambana na biashara haramu ya binadamu kutoka Jeshi la Polisi , ACP
Rogathe Mlasani, akichangia hoja wakati wa kikao hicho kilichofanyika Ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la
Polisi,jijini Dar es Salaam.
Mshiriki wa Kikao cha Kujadili
mikakati ya kupambana na biashara haramu ya binadamu kutoka Vyombo vya Habari
vya Clouds,Simon Simalenga , akichangia hoja wakati wa kikao hicho
kilichofanyika Ukumbi wa Makao Makuu
ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Shirika la Umoja
wa Mataifa linashughulikia Masuala ya Ongezeko la Watu (UNFPA), Jacqueline
Mahon, akizungumza wakati wa Kikao cha Kujadili mikakati ya kupambana na
biashara haramu ya binadamu wakati wa kikao kilichofanyika Ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.Kushoto
ni Msaidizi wa mwakilishi huyo, Anna Holmstrom. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi
No comments:
Post a Comment