June 22, 2018

NIGERIA INAONGOZA 2-0 DHIDI YA ICELAND

 Wachezaji wa timu ya taifa ya Nigeria wakishangilia bao lililofungwa na Ahmed Musa katika dakika ya 49 ya mchezo. Mchezo huo unafanyika katika dimba la Volvograd Arena mjini Moscow, pambano hilo likichezeshwa na mwamuzi, Matthew Conger, kutoka kutoka New Zealand.
Mshambuliaji wa Nigeria, Ahmed Musa, akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao.
Ahmed Musa akishangilia bao la pili aliloifungia timu yake katika dakika ya 75.

Mshambuliaji wa Nigeria, Ahmed Musa, akiifungia timu yake bao la 2 dhidi ya Iceland.

No comments:

Post a Comment

Pages