Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi,Kangi Lugola, akiongozana na Naibu Waziri wa wizara hiyo, Mhandisi Hamad
Masauni(kulia), baada ya kupokelewa leo ofisi
ndogo ya wizara,jijini Dar es Salaam. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola,
akizungumza na viongozi wengine wa wizara hiyo akiwepo Naibu Waziri, Mhandisi
Hamad Masauni(wapili kushoto),Katibu Mkuu, Meja Jenerali Jacob Kingu (wapili
kulia), Naibu Katibu Mkuu, Ramadhani Kailima(wakwanza kulia).Wakwanza kushoto
ni aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo,Balozi Hassan Simba Yahaya.Kikao
hicho kimefanyika leo, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni,
akizungumza wakati wa kikao cha viongozi wakuu wa wizara hiyo,Waziri Kangi
Lugola(watatu kulia), Katibu Mkuu, Meja Jenerali Jacob Kingu (wapili kulia),
Naibu Katibu Mkuu, Ramadhani Kailima(wakwanza kulia),aliyekuwa Naibu Katibu
Mkuu wa wizara hiyo,Balozi Hassan Simba Yahaya(wapili kushoto) na Mkurugenzi wa
Idara ya Usajili wa Vyama vya Kijamii, Marlin Komba(wakwanza kushoto).Kikao
hicho kimefanyika leo, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi,Kangi Lugola, akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon
Sirro, baada ya kufika Ofisi ndogo ya wizara jijini, Dar es Salaam, leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Kangi Lugola, akisalimiana na Maafisa wa Jeshi baada ya kufika Ofisi
Ndogo ya wizara, jijini Dar es Salaam, leo.
No comments:
Post a Comment