Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
mamia ya wananchi wa Mbezi Mwisho
waliosimama katikati barabara ya Morogoro kuhusu kero zao mbalimbali wakati
akitokea Kibaha Kwa mfipa mkoani Pwani ambapo aliweka jiwe la Msingi ujenzi wa
Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere.

Wananchi
mbalimbali wakikimbilia msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli mara baada ya kusimama katika eneo la Mbezi Mwisho ambapo
aliwahutubia wananchi hao.
Wananchi wa
Mbezi Mwisho wakishangilia wakati msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ulipokuwa ukipita katika eneo la Mbezi mwisho
jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi wa Kibaha maili moja wakati akitokea Kibaha kwa mfipa mkoani Pwani
ambapo aliweka jiwe la Msingi ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius
Nyerere. PICHA NA IKULU
Wananchi wa
Mbezi Mwisho wakishangilia wakati msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ulipokuwa ukipita katika eneo la Mbezi mwisho
jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment