HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 16, 2018

RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KIBAHA MAILI MOJA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kibaha maili moja (hawapo pichani) wakati akitokea Kibaha kwa mfipa mkoani Pwani ambapo aliweka jiwe la Msingi ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere.
Wanchi wa Mbezi Mwisho wakishangilia wakati msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ulipowasili katika eneo la Mbezi mwisho jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages