Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Madiwani, Viongozi mbalimbali pamoja na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya
Chato katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya
Chato mkoani Geita. Wengine katika picha ni Mkuu wa Wilaya ya Chato Eng. Mtemi
Msafiri Semeon(kushoto) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chato Eliud Mwaiteleke (kulia). (PICHA NA IKULU).
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Madiwani, Viongozi mbalimbali pamoja na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya
Chato katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya
Chato mkoani Geita. Wengine katika picha ni Mkuu wa Wilaya ya Chato Eng. Mtemi
Msafiri Semeon (kushoto) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chato Eliud Mwaiteleke (kulia).
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na Baraza la Madiwani wa
Halmashauri ya Wilaya ya Chato mara baada ya kumaliza mkutano huo na Madiwani,
Viongozi mbalimbali pamoja na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato.
Wengine katika picha ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Christian
Manunga wapili kutoka (kulia) mstari wa kwanza mbele, Mkuu wa Wilaya ya Chato
Eng. Mtemi Msafiri Semeon watatu kutoka (kulia), Waziri wa Nishati na Madini
Dkt. Medard Kalemani, wanne kutoka (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Chato Eliud Mwaiteleke.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato mara baada ya mkutano huo
uliofanyika katika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani
Geita. Wengine katika picha mstari wa mbele ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya
ya Chato Christian Manunga wakwanza kutoka (kulia) mstari wa kwanza mbele, Mkuu
wa Wilaya ya Chato Eng. Mtemi Msafiri Semeon wapili kutoka (kulia), Waziri wa
Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani wapili kutoka kushoto pamoja na
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chato Eliud Mwaiteleke.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Madiwani
pamoja na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato wakatika akiondoka katika
Ofisi za Halmashauri hiyo Chato mkoani Geita.
No comments:
Post a Comment