Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi wa Sibiti wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la daraja la
Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha
Mkoa wa Simiyu na Singida Septemba 10,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa cha jiwe la msingi la
daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami
linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida.Septemba 10, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe mara baada ya kuweka jiwe la msingi la
daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami
linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida.Septemba 10,2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mmoja wa Mhandisi wa kampuni ya Hanan China inayojenga daraja hilo mara baada
ya kuweka jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja
na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida Septemba
10, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akizungmza na Wahandisi wa kampuni ya Hanan China
inayojenga daraja hilo na kuwasisitiza kumaliza katika muda uliopangwa mara
baada ya kuweka jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita
82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na
Singida.Septemba 10,2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono
wananchi wa Sibiti mara baada ya kuweka jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti
lenye urefu wa mita 82, pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa
Simiyu na Singida.Septemba 10,2018.
Kikundi cha ngoma cha
utamaduni kikitumbuiza mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli mara baada ya kuweka jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti
lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa
Simiyu na Singida.Septemba 10,2018.
Wananchi wakiwa katika
hafla ya uwekaji jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita
82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na
Singida.Septemba 10,2018. Picha na IKULU.
No comments:
Post a Comment