Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akiwa amembeba mtoto Aryana Ally, katika tamasha la kuukaribisha mwaka mpya la ‘Twende9teen’ lililoandaliwa na benki hiyo kupitia akaunti za ‘Junior Jumbo na Young Money Teens’ kwa ajili ya kuwashukuru wazazi pamoja na walezi kwa kuwafungulia watoto akaunti katika benki hiyo. Tamasha hilo lilifanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto), akijaza fomu ya
kuweka hela kwenye akauti ya Junior Jumbo katika gari maalum la Benki
ya CRDB wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Twende 9teen.JJ, jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akitoa elimu juu ya uwekezaji kwa watoto, wazazi pamoja na walezi.
Baadhi ya maofisa wa CRDB Bank wakiwa katika hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akizungumza na waandishi wa habari.
Maofisa wa Benki ya CRDB
Mteja akifungua akaunti
No comments:
Post a Comment