Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mwakilishi Mkazi wa WFP nchini Bw. Michael Dunford
kwenye hafla fupi ya utiaji saini Mkataba wa Mauziano ya Mahindi kati ya
Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) na Shirika la Chakula
Duniani (WFP) kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
leo Ijumaa Januari 4, 2019. Kati ni Manaibu Waziri wa Kilimo Mhe.
Innocent Bashungwa na Dkt Omary Mgumba. (Picha na Ikulu).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza katika hafla ya utiaji saini Mkataba wa Mauziano ya Mahindi kati ya Wakala
wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) na Shirika la Chakula Duniani
(WFP) Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akishuhudia utiaji saini Mkataba wa Mauziano ya Mahindi kati ya
Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) na Shirika la Chakula
Duniani (WFP) kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
leo Ijumaa Januari 4, 2019. Walioketi kushoto ni Mwakilishi Mkazi wa
WFP nchini Bw. Michael Dunford, Manaibu Waziri wa Kilimo Mhe. Innocent
Bashungwa na Dkt Omary Mgumba na Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Elias
Kuandikwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akishuhudia utiaji saini Mkataba wa Mauziano ya Mahindi kati ya
Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) na Shirika la Chakula
Duniani (WFP) kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
leo Ijumaa Januari 4, 2019. Walioketi kushoto ni Mwakilishi Mkazi wa
WFP nchini Bw. Michael Dunford, Manaibu Waziri wa Kilimo Mhe. Innocent
Bashungwa na Dkt Omary Mgumba na Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Elias
Kuandikwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akishuhudia kubadilishana nyaraka baada ya utiaji saini Mkataba wa
Mauziano ya Mahindi kati ya Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa
wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Bi. Vumilia Zikankuba na Mwakilishi Mkazi
wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Bw. Michael Duncan kwenye hafla
ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 4,
2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akishuhudia kubadilishana nyaraka baada ya utiaji saini Mkataba wa
Mauziano ya Mahindi kati ya Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa
wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Bi. Vumilia Zikankuba na Mwakilishi Mkazi
wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Bw. Michael Duncan kwenye hafla
ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Januari 4,
2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika
picha ya pamoja na Mwakilishi Mkazi wa WFP nchini Bw. Michael Dunford
pamoja na Manaibu Waziri wa Kilimo Mhe. Innocent Bashungwa na Dkt Omary
Mgumba na Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Elias Kuandikwa, Viongozi wa
Vyombo vya Ulinzi na Usalama na maafisa wengine waandamizi wa taasisi
hizo baad ya hafla fupi ya utiaji saini Mkataba wa Mauziano ya Mahindi
kati ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) na Shirika la
Chakula Duniani (WFP) kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar
es salaam leo Ijumaa Januari 4, 2019. Kati ni Manaibu Waziri wa Kilimo
Mhe. Innocent Bashungwa na Dkt Omary Mgumba.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja
na Mwakilishi Mkazi wa WFP nchini Bw. Michael Dunford pamoja na
Manaibu Waziri wa Kilimo Mhe. Innocent Bashungwa na Dkt Omary Mgumba na
Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Elias Kuandikwana maafisa wengine waandamizi
wa UNFPA baada ya hafla fupi ya utiaji saini Mkataba wa Mauziano ya
Mahindi kati ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) na Shirika
la Chakula Duniani (WFP) kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini
Dar es salaam leo Ijumaa Januari 4, 2019. Kati ni Manaibu Waziri wa
Kilimo Mhe. Innocent Bashungwa na Dkt Omary Mgumba.
No comments:
Post a Comment