Kikosi cha Simba kilichopambana na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka suluhu.
Moja ya hekeheka katika mchezo huo.
Mashabiki wa soka wakishuhudia pambano la Simba na Azam FC.
Wachezaji wa Azam na Simba wakiwania mpira.
No comments:
Post a Comment