Wanariadha ambao wamefikia viwango vya IAAF Doha World Championships ni hawa;
1)Agostino Sulle - 2:07:45 Toronto Waterfalls Marathon October 2018 (Canada)
2)Alphonce Simbu - 2:08:27 - Lake Biwa Marathon March 2019 (Japan)
3)Stefano Huche - 2:12 Seoul Marathon November 2018 (South Korea)
4)Ezekiel Jafari - 2:13 Frankfurt Marathon November 2018 (Germany)
5)Failuna Abdi Matanga - 2:29:55 Hamburg Marathon April 2019 (Germany)
Alphonce Felix Simbu na Failuna Abdi Matanga pia wamefaulu kushiriki 2020 Tokyo Olympic Games.
Wiki ijayo wanariadha saba (7) wanakwenda Marekani
kushiriki BOLDER BOLDER 10KM iliyopo Bolder Colorado, wanariadha hao
baada ya hapo watatawanyika kushiriki mashindano mbalimbali ya viwanjani
(Track) ili kutafuta viwango vya mbio za uwanja kuelekea Doha na Tokyo.
Wanariadha hao ni hawa;
1)Alphonce Simbu - JWTZ
2)Teophil J. Panga - JWTZ
3)Magdalena Shauri - JWTZ
4)Sisilia P. Ginoka - JWTZ
5)Silvester Monko - JKT
6)Nelson Sulle - POLICE
7)Natalia Elisante - TALENT
2)Teophil J. Panga - JWTZ
3)Magdalena Shauri - JWTZ
4)Sisilia P. Ginoka - JWTZ
5)Silvester Monko - JKT
6)Nelson Sulle - POLICE
7)Natalia Elisante - TALENT
Hao wote wanakwenda kwa plani maalum ambayo imefikiwa baina ya maajenti wao, waandaaji wa mashindano Marekani na RT.


No comments:
Post a Comment