Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP
Simon Sirro, akizungumza na askari (hawapo Pichani) wanaopata Mafunzo ya
Upelelezi katika Chuo cha Maafisa wa Polisi Kurasini, Dar es salaam, ambapo IGP
Sirro aliwataka askari hao kuhakikisha kuwa upelelezi wa kesi unakamilika
haraka.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon
Sirro (wapili kulia), akimsikiliza Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya
Jinai DCP Charles Kenyera, wakati akitoa hotuba mbele ya askari (hawapo
Pichani) wanaopata Mafunzo ya Upelelezi kwenye Chuo cha Maafisa wa Polisi
Kurasini, Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment