June 14, 2019

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WABUNIFU WA UMEME WA MAJI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kuwapongeza wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo aliowaita  Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019.
Mbunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu).
 Mbunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. Jailosi Ngairo.
 Mtangazaji wa Shirika la utangazajinTanzania TBC Tatu Abdalah kutoka Njombe akifuatilia kwa umakini tukio la kuwaponeza wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na mwenzake  Bw. Jailosi Ngairo waliopongezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwakabidhi kifuta jasho cha shilingi milioni 5 wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo aliowaita kuwapongeza na kuongea nao pamoja na Mkurugenzi Mkuu na Waandaji wa Kipindi cha Hadubini TBC, Makatibu wakuu wa Wizara ya Nishat, Elimu Sayansi na teknolojia, Viwanda na Biashara, Mkurugenzi Mkuu na wataalamu kutoka TANESCO, Kamishna wa Umeme na Mkurugenzi Mkuu na Wataalamu wa COSTECH Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasindikiza baada ya kuwakabidhi kifuta jasho cha shilingi milioni 5  kuwakabidhi wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo aliowaita kuwapongeza na kuongea nao pamoja na Mkurugenzi Mkuu na Waandaji wa Kipindi cha Hadubini TBC, Makatibu wakuu wa Wizara ya Nishati, Elimu Sayansi na teknolojia, Viwanda na Biashara, Mkurugenzi Mkuu na wataalamu kutoka TANESCO, Kamishna wa Umeme na Mkurugenzi Mkuu na Wataalamu wa COSTECH Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya kumbukumbu na wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo pamoja na Mkurugenzi Mkuu na Waandaji wa Kipindi cha Hadubini TBC, Makatibu wakuu wa Wizara ya Nishat, Elimu Sayansi na teknolojia, Viwanda na Biashara, Mkurugenzi Mkuu na wataalamu kutoka TANESCO, Kamishna wa Umeme na Mkurugenzi Mkuu na Wataalamu wa COSTECH Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwapongeza wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwapongeza wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifurahi na wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo aliowaita  Ikulu jijini Dar es Salaam Juni 13, 2019. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Pages