RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk
Alhajj Ali Mohamerd Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi alipowasili katika viwanja vya
Maisara Suleiman kuhudhuria Ibada ya Sala ya Eid Fitry
leo,5-6-2019. (Picha na Ikulu).
SHEIKH Khamis Gharib Khamis akiongosa Sala ya Eid Fitry katika viwanja vya Maisara Suleiman leo, (Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk
Alhajj Ali Mohamed Shein, akishiriki katika Ibada ya Sala ya Eid Fitry
iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman leo, baada ya kumalizika
kwa mfungo wa Mwezi Mtuku wa Ramadhani, (Picha na Ikulu).
WAUMINI wa Dini ya Kiislam Kisiwani Zanzibar wakifuatilia Hutba
ya Sala ya Eid Fitry ikisomwa na Sheikh Khamis Gharib Khamis, katika
viwanja vya Maisara Suleiman leo. (Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein, akisikiliza Hutba ya Sala ya Eid Fitry baada ya
kumalizika kwa Sala hiyo iliofanyika katika viwanja vya Maisara
Suleiman, kushoto Sheikh Abdalla Talib, Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe Balozi Seif Ali Iddi na kulia Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh
Saleh Omar Kabi. (Picha na Ikulu).
BAADHI ya
Viongozi na Wananchi wakifuatilia Hutba ya Sala ya Eid Fitry iliofanyika
katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja leo. (Picha
na Ikulu).
WAUMINI wa Dini ya
Kiislam Zanzibar wakifuatiula hutba ya Sala ya Eid Fitry katika viwanja
vya Maisara Suleiman leo ikisomwa na Sheikh Khamis Gharib Khamis. (Picha
na Ikulu).
MZEE Khatib akifutilia
hutuba ya Sala ya Eid Fitry katika viwanja vya Maisara Suleiman leo
baada ya kumalizika kwa sala hiyo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.
Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa
Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali katika viwanja vya Maisara Suleiman
baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Fitry leo. kushoto Sheikh Abdalla
Talib na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Balozi Seif Ali Iddi na
kulia Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi. (Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.
Amani Karume baada ya kumalizika Sala ya Eid Fitry katika viwanja vya
Maisara. (Picha na Ikulu).
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akimsalimia Mtoto Abdalla Waziri baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid
Fitry katika viwanja vya Maisara Suleiman leo asubuhi. (Picha na Ikulu).
No comments:
Post a Comment