HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 04, 2019

Rais Dkt. Magufuli azungumza na Makatibu Tawala wa Wilaya zote pamoja na Makatibu Tarafa Ikulu jijini Dar es Salaam

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makatibu Tawala wa Wilaya zote pamoja na  Makatibu Tarafa  wa Tarafa zote katika Kikao kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makatibu Tawala wa Wilaya zote pamoja na  Makatibu Tarafa  wa Tarafa zote katika Kikao kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages