Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana,
Ajira na Wenye Ulemavu, Stella Ikupa akizungumza katika Kongamano
la Wanawake (UWT) lililohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, Julai 13, 2019. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake
Tanzania (UWT), Gaudencia Kabaka wakitazama hot pot lililotengenezwa kwa
mbao wakati alipohutubia katika Kongamano la Wanawake kwenye uwanja wa
Lake Tanganyika mjini Kigoma Julai 13, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia katika Kongamano
la Wanawake (UWT) kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, Julai
13, 2019.
No comments:
Post a Comment