Spika wa Bunge la Kenya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya
Uongozi ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Mhe. Justin
Muturi akiongoza kikao cha Kamati hiyo Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es
Salaam mapema leo. Wa kwanza Kulia ni Katibu wa CPA-Kanda ya Afrika na ambaye
pia ni Katibu wa Bunge la Tanzania Ndg. Stephen Kagaigai
na wanaofuatia upande huo ni Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati hiyo . Upande wa kushoto ni Wajumbe wa Kamati hiyo
na ambao pia ni Wabunge kutoka Zambia, Uganda,Namibia, Ghana na Kenya.
Spika
wa Bunge la Kenya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha
Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika Mhe. Justin Muturi akisalimiana na
Naibu Spika wa Bunge la Cameroon Mhe. Emilia Lifaka alipowasili kwa ajili ya
kikao hicho. PICHA NA BUNGE.
No comments:
Post a Comment