July 22, 2019

REMHTULLAH AZINDUA VAZI LA KITENGE

 Mwanamitindo akipita mbele ya hadhara kuonyesha vazi la kitenge lililobuniwa na mbunifu wa mitindo Tanzania,  Ally Rehmtullah kwenye maonesho ya wazi ya Vazi la kitenge maarufu kama “Vitenge Vyetu Ufahari Wetu” yaliyoandaliwa na Ally Rehmtullah kushirikiana na kampuni ya Flygle and Hightech Wear, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Moja jijini Dar Es Salaam.
 Wanamitindo wakipita mbele ya hadhara kuonyesha mavazi ya vitenge yaliyobuniwa na mbunifu wa mitindo Tanzania,  Ally Rehmtullah kwenye maonesho ya wazi ya Vazi la kitenge maarufu kama “Vitenge Vyetu Ufahari Wetu” yaliyoandaliwa na Ally Rehmtullah kushirikiana na kampuni ya Flygle and Hightech Wear, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Moja jijini Dar Es Salaam.

 Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa Na Michezo, Juliana Shonza akipita mbele ya hadhara na Mbunifu wa mitindo, Ally Rehmtullah  kwenye maonesho ya wazi ya mavazi ya kitenge maarufu kama “Vitenge Vyetu Ufahari Wetu” yaliyoandaliwa na Ally Rehmtullah kushirikiana na kampuni ya Flygle and Hightech Wear, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Moja jijini Dar Es Salaam.

Mbunifu wa mitindo Tanzania,  Ally Rehmtullah akitoa neno la shukurani kwa wageni waalikwa kwa kuhudhuria kwenye maonesho ya wazi ya mavazi ya vitenge yaliyofanyika jijini Dar Es Salaam. Wengine pichani ni Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa Na Michezo, Juliana Shonza (wa tatu toka kushoto), viongozi toka Basata na Wawakilishi toka kampuni ya Flygle and Hightech Wear.  

Na Mwandishi Wetu
 
MBUNIFU wa mavazi nchini, Ally Remhtullah, amezindua onyesho la mitindo la vitenge, ambapo mgeni rasmi alikuwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza.

Akizungumza katika uzinduzi huo, Remtullah, alisema amekuwa akivalisha watu mbalimbali mashuhuri wakiwemo wasanii, wanasiasa na kampuni kubwa hapa nchini na kuwashukuru wadau kwa kuendelea kumuunga mkono katika kazi zake.

Aliongeza kuwa mafanikio aliyoyapata yametokana na ushirikiano mzuri wa wadau mbalimbali katika maandalizi ya tamasha hilo ambalo litazidi kutangaza kitenge kimataifa.

“Katika kuelekea Tanzania ya viwanda ni miaka 12 sasa tangu nimeanza kufanya kazi ya ubunifu nimepata mafanikio makubwa kwa kushikwa mkono na wadau wa mitindo lakini sasa ningependa soko letu la vitenge lipande liwe la kimataifa” alisema Remhtullah.

Kwa upande wake Naibu Waziri Shonza, alisema kuwa kuandaa onyesho sio kitu kidogo na kwa kuwa ni la kwanza hapa nchini kufanyika limeleta mwitikio na mapinduzi makubwa kwenye sekta ya mitindo,” alisema Shonza.
 
No comments:

Post a Comment

Pages