Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika mkutano kwa njia ya
video na Wakuu wa Mikoa inayolima Pamba ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu,
Geita, Mara, Kagera, Singida na Tabora akiwa jijini Dar es salaam,
Agosti 3, 2019. Mkutano huo pia ulimjumuisha, Waziri wa Kilimo, Japhet
Hasunga, Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, Naibu Waziri wa Viwanda
na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya, Maofisa kutoka Benki Kuu ya
Tanzania pamoja Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB ambaye pia ni
Mwenyekiti wa wamiliki wa Mabenki, Abdulmajid Nsekela. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment