August 03, 2019

WANAFUNZI NURU SEKONDARI WAZURU BANDA LA TAEC NJIRO ARUSHA

Mtafiti Mwandamizi wa Tume ya Nguvu za Atomiki (TAEC) Bw. Simon Mdoe, akitoa elimu juu ya madini ya urani kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nuru ya jijini Arusha, Mara wanafunzi hao walipotembelea Banda la TAEC katika maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya TASO vilivyopo Njiro jijini Arusha.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nuru ya jijini Arusha, wakipeana elimu wenyewe kwa wenyewe juu ya madhara yanayosababishwa na mionzi mara baada ya kupata elimu ya kutosha kutoka kwa watumishi wa TAEC, walipotembelea Banda la TAEC katika maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya TASO vilivyopo Njiro jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment

Pages