August 06, 2019

PAMBANO LA SIMBA NA POWER DYNAMOS KATIKA PICHA


 Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohamed Dewji 'MO' akitambulishwa leo kwa mashabiki wa timu hiyo wakati wa tamasha la Wiki ya Simba ambapo timu hiyo inapambana na Power Dynamos ya Zambia kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.(Picha na John Dande)
Kocha wa Simba Patrick Aussems akiwa na Mwekezaji wa Simba, Mohamed Dewji.
 Mashabiki wakiingia uwanjani kushuhudia pambano la Simba na Power Dynamos.
 Shabiki.
Mashabiki wakiw uwanjani.
Mashabiki wakiwasili uwanjani.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia mashabiki na wapenzi wa timu ya Soka ya Simba wakati alipoingia kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuwa mgeni rasmi katika Simba Day, Agosti 6, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Simba Day kwenye uwanja  Taifa jijini Dar es Salaam, Agosti 6, 2019. Wa tatu kushoto ni  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, Kulia ni Mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji na kushoto ni  Rais wa TFF, Wallece Karia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia mashabiki na wapenzi wa timu ya Soka ya Simba wakati alipoingia kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuwa mgeni rasmi katika Simba Day, Agosti 6, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Pages