HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

October 14, 2019

I&M BANK YAWAKUMBUKA WAGONJWA WA SARATANI DAR

Baadhi ya wafanyakazi wa I&M Bank wakielekea kutoa misaada ya vitu mbalimbali kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Roadjijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.

Mkurugenzi wa Bodi ya I&M Bank, Balozi Bertha Semu-Somi, akikabidhi kwa muuguzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, kanga ikiwa ni sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali walivyotoa wafanyakazi wa benki hiyo walipoenda kuwafariji wagonjwa waliolazwa katika taasisi hiyo.

Mkurugenzi wa Bodi ya I&M Bank, Balozi Bertha Semu-Somi (kushoto) na Mkuu wa Ifara ya Wateja wa Rejareja, Lilian Mtali wakikabidhi kwa pamoja vitu mbalimbali kwa muuguzi wa taasisi ya saratani wakati wafanyakazi wa benki hiyo walipoenda kuwafariji wagonjwa waliolazwa katika taasisi hiyo.
Mkurugenzi wa Bodi ya I&M Bank, Balozi Bertha Semu-Somi na Mkuu wa Idara ya Wateja wa Rejareja, Lilian Mtali, wakikabidhi kwa muuguzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, katoni za maji ikiwa ni sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali walivyotoa wafanyakazi wa benki hiyo walipoenda kuwafariji wagonjwa waliolazwa katika taasisi hiyo.

Mkurugenzi wa Bodi ya I&M Bank, Balozi Bertha Semu-Somi, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi vitu mbalimbali kwa wagonjwa waliolazwa katika taasisi ya saratani jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages